howardbillionaire

We The House Of Music

HowardBillionaire

>>>>>>>> Click here to Download Online TV app | Your portable Tv<<<<<<<<<<<<<

Thursday, November 23, 2017

BREAKING: Rais Magufuli amteua Dkt. Slaa kuwa Balozi



Taarifa iliyotolewa jioni ya November 23 2017 kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU, Gerson Msigwa imeeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo November, 23  2017 amemteua Dkt. Wilbrod Peter Slaa kuwa Balozi. Dkt. Wilbrod Peter Slaa ataapishwa baada ya taratibu kukamilika.

No comments:

Post a Comment